Tangazo

March 9, 2016

TAASISI YA TANZANIA WOMEN OF ACHIEVEMENT (TWA) YAANDAA KONGAMANO LA KUTOA AHADI YA UWIANO SAWA WA KIJINSIA


Mwenyekiti wa Tanzania Women of Achievement , Sadaka Gandi akiongea na washiriki wa kongamano la  shamrashamra za kuelekea  siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi  lililofanyika jijini  katika hotel ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam mapema jumapili.Kongamano hilo  liliandaliwa  na  Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) yenye kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia.
Rais wa Tanzania Women of Achievement Irene Kiwia  akitoa hotuba ya ufunguzi  katika kongamano la  shamrashamra za kuelekea  siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi  lililofanyika jijini  katika hotel ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam mapema jumapili.Kongamano hilo  liliandaliwa  na  Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) yenye kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia.


Mgeni Rasmi ,Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dk .Ashatu Kijaji akitoa hotuba yake katika kongamano la  shamrashamra za kuelekea  siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi  lililofanyika jijini  katika hotel ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam mapema jumapili iliyopita .Kongamano hilo  liliandaliwa  na  Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) yenye kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia,


Mwongoza Mada Modesta Mbughunia   kifurahia jambo   katika mjadala wa Uwiano sawa wa kijinsia uliofanyika katika kongamano la  shamrashamra za kuelekea  siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi lililofanyika jijini  katika hotel ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam mapema jumapili iliyopita .Kongamano hilo  liliandaliwa  na  Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) yenye kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia.

Mhadhiri kutoka Centre of Foreign Relations and International  Affairs  Prof.Ruth Meena akifafanua jambo wakati mjadala kuhusu uwiano sawa wa kijinsia  katika kongamano la  shamrashamra za kuelekea  siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi   lililofanyika jijini  katika hotel ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam mapema jumapili iliyopita  .Kongamano hilo  liliandaliwa  na  Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) kukiwa na kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia.

Mmoja wa wazungumzaji wakuu Prof Slyvia Kaaya akichangia mada katika mjadala wa uwiano sawa wa kijinsia pembeni yake ni Bi Mary Rusimbi aliyekuwa mkurungezi mtendaji wa BOT ,na kulia kwake ni Mwenyekiti wa TAWLA Aisha Bade ,anayefuatia ni Mtendaji Mkuu wa WOMEN FUND TANZANIA Mary Rusimbi     katika kongamano la  shamrashamra za kuelekea  siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi   lililofanyika jijini  katika hotel ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam mapema jumapili iliyopita  .Kongamano hilo  liliandaliwa  na  Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) kukiwa na kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia

Waziri wa fedha mstaafu Mama Zakhia Meghji akichangia katika ya uwiano sawa katika kongamano la  shamrashamra za kuelekea  siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi   lililofanyika jijini  katika hotel ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam mapema jumapili iliyopita  .Kongamano hilo  liliandaliwa  na  Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) kukiwa na kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia

Mwandishi wa habari Mkongwe Bi Edda Sanga akichnagia mada ya Usawa wa Kijinsia katika kongamano la  shamrashamra za kuelekea  siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi   lililofanyika jijini  katika hotel ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam mapema jumapili iliyopita  .Kongamano hilo  liliandaliwa  na  Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) kukiwa na kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia

Mfanyabiashara na blogger Monica Joseph akichangia mada katika mjadala wa usawa wa kijinsia katika kongamano la  shamrashamra za kuelekea  siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi   lililofanyika jijini  katika hotel ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam mapema jumapili iliyopita  .Kongamano hilo  liliandaliwa  na  Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) kukiwa na kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia

MC Taji Liundi akiongoza utaratibu katika kongamano la  shamrashamra za kuelekea  siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi   lililofanyika jijini  katika hotel ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam mapema jumapili iliyopita  .Kongamano hilo  liliandaliwa  na  Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) kukiwa na kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia

Mwanafalsafa Dk Elie Waminian akitoa mada katika kongamano la  shamrashamra za kuelekea  siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi   lililofanyika jijini  katika hotel ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam mapema jumapili iliyopita  .Kongamano hilo  liliandaliwa  na  Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) kukiwa na kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia
Mmoja wa wasichana waliopata usimamizi (Mentorship )  kutokaTaasisi ya  TWA Dalini Kilemba akitoa ushuhuda kwa washiriki  jinsi TWA walivyoweza kubadilisha maisha yake  katika kongamano la  shamrashamra za kuelekea  siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi  yaliyofanyika jijini  katika hotel ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam mapema jumapili.Kongamano hilo  liliandaliwa  na  Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) yenye kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia.

Mtendaji Mkuu wa WOMEN FUND TANZANIA Mary Rusimbi ambaye alikuwa mmoja wa wazungumzaji wakuu katika mazungumzo yaliyofanyika katika kongamano la  shamrashamra za kuelekea  siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi akitoa neno la shukrami kwa washiriki  .Kongamano hilo  liliandaliwa  na  Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) yenye kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsi


Mwanamzuki CHi akitumbuiza katika katika kongamano la  shamrashamra za kuelekea  siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi   lililofanyika jijini  katika hotel ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam mapema jumapili iliyopita  .Kongamano hilo  liliandaliwa  na  Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) kukiwa na kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia

Washiriki mbalimbali wa kongamano wakiweka saini zao katika ubao maalum katika namna ya kutoa ahadi ya Uwiano sahihi wa kijinsia  katika kongamano la  shamrashamra za kuelekea  siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi   lililofanyika jijini  katika hotel ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam mapema jumapili iliyopita .Kongamano hilo  liliandaliwa  na  Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) kukiwa na kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia

No comments: