Tangazo

October 6, 2016

RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA RASMI KIWANDA CHA KUSINDIKA MATUNDA CHA BAKHRESSA

 Waziri wa viwanda,  Biashara na Uwekezaji Mhe Charles Mwijage (kushoto) na katibu Mkuu wake Dkt. Adelhelm Meru wakiongea na Mwenyekiti wa makampuni ya Bakhressa Group Mzee Said Salim Bakhressa wakati wakimsubiri Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili kwenye sherehe za ufunguzi wa kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016
 Mkurugenzi Mkuu wa makampuni ya Bakhressa Bw. Abubakar Bakhressa (kushoto) akibadilishana mawazo na maafisa waandamizi wake wakati wakimsubiri Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili kwenye sherehe za ufunguzi wa kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016
 Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akilakiwa na Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe Charles Mwijage kwenye sherehe za ufunguzi wa kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016
 Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akilakiwa na  Mwenyekiti wa makampuni ya Bakhressa Group  Mzee Said Salim Bakhressa kwenye sherehe za ufunguzi wa kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016
  Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akilakiwa na  Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga Mhe Filberto Hassan Sanga  alipowasili kwa ajili ya  sherehe za ufunguzi wa kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016
   Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akilakiwa na  Katibu Mkuu Waziri wa viwanda,  Biashara na Uwekezaji  Dkt. Adelhelm Meru  alipowasili kwa ajili ya  sherehe za ufunguzi wa kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016
 Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akilakiwa na Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhandisi Joseph Malongo
 Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akilakiwa na Mbunge wa Mkuranga Mhe. Abdallah Ulega
 Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akilakiwa na Mkurugenzi Mkuu wa makampuni ya Bakhressa Bw. Abubakar Bakhressa 
  Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akilakiwa na Mkurugenzi Mkuu wa makampuni ya Bakhressa Bw. Abubakar Bakhressa 
  Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akilakiwa na Mtendaji Mkuu (CEO) Wa  Bakhressa Food Products LTD Bw. Salim Aziz Salim  
   Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akilakiwa na Mtendaji Mkuu (CEO) Wa  Bakhressa Food Products LTD Bw. Salim Aziz Salim  
   Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akilakiwa na afisa mwandamizi   Bakhressa Food Products LTD 
 Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akilakiwa na afisa mwandamizi   Bakhressa Food Products LTD 
 Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akisalimiana na Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, kamanda Boniventure Mushongi 
  Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akisalimiana na viongozi wa mkoa wa pwani
 Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuzindua rasmi  kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016
 Mbunge wa Mkuranga Mhe Abdallah Ulega akifurahia baada ya Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuzindua rasmi  kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016
 Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitembezwa baada ya kukizindua rasmi  kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016

 Afisa Uhusiano wa Bakhresssa Group akitoa muhtasali wakati wa ufunguzi  rasmi wa kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016
  Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akiteta jambo  na  Mwenyekiti wa makampuni ya Bakhressa Group  Mzee Said Salim Bakhressa
 Mkurugenzi Mkuu wa makampuni ya Bakhressa Bw. Abubakar Bakhressa akisoma risala kwenye shere hizo
 Mbunge wa Mkuranga Mhe abdallah Ulega akisema machache
 Wafanyakazi na wageni waalikwa
 Wafanyakazi na wageni waalikwa
 Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo akisoma ripoti kuhusu viwanda na uwekezaji mkoani humo
 Mshereheshaji Charles Hilary akiwa kazini
 Wafanyakazi na wageni waalikwa
 Waziri wa viwanda,  Biashara na Uwekezaji Mhe Charles Mwijage akiongea machache kabla ya kumkaribisha Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuhutubia
  Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akihutubia wakati wa sherehe hizo
 Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akihutubia wakati wa sherehe hizo

 Wafanyakazi na wageni waalikwa wakimsikiliza Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akihutubia wakati wa sherehe hizo

 Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akiendelea kuhutubia wakati wa sherehe hizo

 Mbunge wa Mkuranga Mhe Abdallah Ulega akimshukuru  Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  kwa kutambua mchango wake katika kuleta maendeleo jimboni wakati akiendelea kuhutubia

   Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akaga baada ya kuzindua rasmi kiwanda hicho na kisha kuhutubia wakati wa sherehe hizo
     Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akaga baada ya kuzindua rasmi kiwanda hicho na kisha kuhutubia wakati wa sherehe hizo
  Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  katika picha ya kumbukumbu na meza kuu
  Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  katika picha ya kumbukumbu na meza kuu na baadhi ya viongozi wa mkoa wa pwani
  Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  katika picha ya kumbukumbu na meza kuu na baadhi ya viongozi wa mkoa wa pwani
  Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  katika picha ya kumbukumbu na meza kuu na maafisa waandamizi  wa Bakhressa Group
 Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  katika picha ya kumbukumbu na meza kuu na wafanyakazi wa Bakhressa Food Products Ltd. 

  Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  katika picha ya kumbukumbu na meza kuu na wanahabari waliohudhuria na wa Azam Media
   Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  katika picha ya kumbukumbu na meza kuu na wanahabari waliohudhuria na wa Azam Media

   Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akiagana na Bw. Charles Hilary wa Azam TV Bw. Dunstan Tido Mhando
   Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akiagana Bw. Dunstan Tido Mhando. PICHA NA IKULU

No comments: