Tangazo

September 20, 2011

ABBAS KANDORO AKARIBISHWA MBEYA KWA MAJANGA

Mkuu Mpya wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro baada ya kumaliza kula kiapo cha kuutumikia Mkoa wa Mbeya, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Soko la Sido Mwanjelwa Mbeya likiwa linateketea mwishoni mwa wiki iliyopita.
Muathirika wa Mashambulizi ya kupigwa Nondo na watu wasiojulikana ndani ya Jiji la Mbeya.
Soko dogo la Forest Mbeya kuteketea kwa moto muda mfupi baada ya lile la  Sido Mwanjelwa kuungua.
Wakazi wa Jiji la Mbeya kwa kutambua utendaji kazi wa Mh. Abbas Kandoro akiwa Mwanza na Dar es Salaam ambayo yote ni Majiji wanategemea haya yote ambayo yanawaathiri watu wa Mbeya hasa kiuchumi kwa kuipoteza nguvu kazi yao yanaweza kwisha au kupungua kwa kiasi kikubwa sana.
Kwa hisani ya Kapingaz blog

No comments: