Mke wa Rais, Mama Kikwete akutana na Wajumbe wa CWP
Mwenyekiti wa WAMA Mama Salma Kikwete akizungumza na Wabunge Wanawake wa Jumuiya ya Madola (CWP) Kanda Ndogo ya Afrika Mashariki waliokwenda kumtembelea katika Taasisi ya WAMA Dar es Salaam jana. Picha zote na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO
Baadhi ya Wajumbe wa chama cha Wabunge Wanawake wa Jumuiya ya Madola (CWP) Kanda Ndogo ya Afrika Mashariki wakifuatilia hotuba ya Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA, Mama Salma Kikwete wakati walipomtembelea ofisini kwake.
Wakiwa katika picha ya pamoja baada ya mazungumzo.
Mwenyekiti wa WAMA Mama Salma Kikwete akifafanua jambo kwa waandishi wa habari baada ya mazungumzo.
No comments:
Post a Comment