Tangazo

September 19, 2011

DC - IGUNGA AELEZEA JINSI ALIVYOSHAMBULIWA, KUDHALILISHWA NA CHADEMA




Mkuu wa Wilaya ya Igunga,  Fatuma Kimario akizungumza na waandishi wa habari kueleza alivyoshambuliwa na kudhalilishwa na viongozi na wafuasi wa CHADEMA, katika eneo la Isakamaliwa.PICHA/HISANI YA BASHIR NKOROMO-IGUNGA

Fomu ya Polisi ya vipimo vya hospitali ' PF 3' aliyopewa Mkuu huyo wa wilaya.

No comments: