Tangazo

September 19, 2011

Haya ni mabaki ya Soko la Sido Mwanjelwa lililoteketea kwa moto

Haya ni mabaki ya Soko la Sido Mwanjelwa lililoteketea kwa moto hivi karibuni ambapo chanzo chake kimebainika kuwa ni hitilafu ya umeme.

No comments: