Tangazo

September 30, 2011

Kaseba na Maneno Osward 'Mtambo wa gongo' wakumbushwa sheria

Mabondia Japhet Kaseba (kushoto) na Maneno Osward wakitunishiana misuri wakati walipokutana jijini Dar es Salaam jana kukumbushwa sheria mbalimbali zitakazotumika katika mpambano wao utakaofanyika kesho Jumamosi. Katikati ni Katibu wa Chama cha Mchezo wa Ngumi kinachosimamia mpambano huo (PST). Anton Lutta. (Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)

No comments: