Tangazo

September 30, 2011

Waziri Mkuu Pinda ateta na Mpiganaji Athuman Hamis


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Athumani Khamis ambaye ni Mhariri wa Picha wa Magazeti la Serikali ya Daily News na Habari Leo, Ofisini kwake jijini Dar es salaam jana Septemba 29, 2011.  Athuman Hamis alipata ajali mbaya ya gari iliyotokea katika eneo Kibiti mkoani Pwani takribani miaka mitatu iliyopita wakati akielekea Kilwa mkoani Lindi kikazi hali iliyompelekea ulemavu.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: