Balozi wa Zambia nchini Tanzania, Mavis Lengalenga (katikati) akicheza ngoma ya asili iliyokuwa ikitolewa na kikundi cha Sanaa cha Makanjani kutoka nchini Zambia, wakati wa maadhimisho ya Kumbukumbu ya miaka 35 ya reli ya Tazara kuelekea maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania. Maonyesho hayo yalifanyika Jana katika Viwanja vya Tazara jijini Dar es Salaam. Picha kwa hisani ya www.sufianimafoto.blogspot.com |
No comments:
Post a Comment