Wahitimu watarajiwa wa kidato cha nne wa shule ya Sekondari Doma, Wilaya ya Mvomero, Mkoa wa Morogoro, wakiimba nyimbo za kuwaaga wanafunzi wenzao, walimu , wazazi pamoja na mgeni rami ,Mbunge wa Jimbo la Mvomero Amos Makalla ( hayupo pichani) wakati wa mahafali ya pili ya kidato cha nne yaliyofanyika Septemba 21, mwaka huu, Shuleni hapo. |
No comments:
Post a Comment