Miss Universe Tanzania 2011, Nelly Kamwelu akiwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa J.K. Nyerere jijini Dar es Salaam mapema leo asubuhi wakati akiwasili kutoka Sao Paulo, Brazil kulikofanyika fainali za Dunia za mashindano hayo.Nelly Kamwelu ameweza kuiwakilisha vyema nchi yetu katika mashindano hayo na alifanikiwa kuingia katika 16 bora na kushika nafasi ya saba kwenye mashindano ya vazi la taifa. |
No comments:
Post a Comment