Tangazo

September 9, 2011

Mzee Ben Mkapa aingia Igunga kwa Kishindo tayari kwa kampeni

Msafara wa Mkapa ukiwasili mjini Igunga.
Mashabiki wa CCM wakiwa kwenye msafara wa mapokezi ya Mkapa
Watu wakisubiri msafara wa Mkapa eneo la kijiji cha Makomero  nje ya mji wa Igunga.
Mgombea Ubunge Jimbo la Igunga kwa tiketi ya CCM, Dk. Dalally Peter Kafumu akimsalimia mmoja wa wananchi wa kijiji cha Makomero waliokuwa wakisubiri msafara wa Mkapa.
Mwenyekiti mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa akisalimia wananchi baada ya kuwasili kijiji cha Makomero nje kidogo ya mji wa Igunga mkoani Tabora tayari kuzindua kampeni za CCM za uchaguzi mdogo Jimbo la Igunga.
Mwenyekiti mstaafu wa CCM Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa akisalimia wananchi baada ya kuwasili kijiji cha Makomero nje kidogo ya mji wa Igunga mkoani Tabora tayari kuzindua kampeni za CCM za uchaguzi mdogo jimbo la Igunga.
Mwenyekiti wa CCM mstaafu, Rais Mstaafu Benjamin Mkapa akimsalimia Mgombea Ubunge Jimbo la Igunga, Dk. Dalaly Peter Kafumu  katika mapokezi yake Igunga jana. Katikati ni Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha, Mwigulu Nchemba ambaye ni maratibu wa kampeni jimbo hilo.

No comments: