Tangazo

September 30, 2011

RAIS , DK. JAKAYA KIKWETE KULIHUTUBIA TAIFA LEO

Rais, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete
RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WATANZANIA,  DK. JAKAYA MRISHO KIKWETE LEO IJUMAA SEPTEMBA 30, 2011 ATALIHUTUBIA TAIFA IKIWA NI KATIKA UTARATIBU WAKE WA KULIHUTUBIA TAIFA KILA MWEZI.

IMETOLEWA NA:
KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS, IKULU
DAR ES SALAAM

No comments: