Tangazo

September 21, 2011

RAIS KIKWETE AKUTANA NA VIONGOZI MBALIMBALI DUNIANI

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Waziri Mkuu wa Canada Mheshimiwa Stephen Harper wakati viongozi hao walipokutana katika hoteli ya Intercontinental huko New York nchini Marekani jana 20.9.2011. Viongozi hao wako nchini humo wakihudhuria mkutano wa 66 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ulioanza juzi.

Rais Jakaya Kikwete akifurahia jambo na viongozi mashuhuri duniani akiwemo Askofu Desmond Tutu kutoka Afrika Kusini (kushoto) na aliyekuwa Rais wa Finland Mheshimiwa Marti Artisaari (katikati) wakati wa special event on the implementation of the Global strategy for women's and children's health iliyofanyika katika hoteli ya Grande Hyatt katika jiji la New York nchini Marekani jana 20.9.2011. PICHA NA JOHN  LUKUWI

No comments: