Tangazo

September 21, 2011

MAKAMU WA RAIS, DK. BILAL AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA VITAMBULISHO VYA TAIFA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) Dickson Maimu, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Septemba 21 kwa ajili ya mazungumzo kuhusu maendeleo ya maandalizi ya zoezi hilo la vitambulisho vya Taifa. Katikati ni Ofisa Habari wa NIDA, Rose Mdami. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) Dickson Maimu, baada ya mazungumzo wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Septemba 21 kwa ajili ya mazungumzo kuhusu maendeleo ya maandalizi ya zioezi la Vitambulisho vya Taifa. Picha na muhidin Sufiani-OMR

No comments: