Tangazo

September 12, 2011

SEMINA YA KILI - JIVUNIE UTANZANIA KWA WAANDISHI WA HABARI KATIKA PICHA

Kundi hili likiongozwa na Eliza Mayemba wa Dimba likiwa katika harakati za kujibu maswali baada ya semina. Kushoto ni Kamanda wa Matukio, Richard Mwaikenda na (wa pili kushoto) ni Mhariri Mkuu wa Blogu hii ya Daily Mitikasi, John Badi.
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe akizungumza na waandishi wa habari walioshiriki katika semina ya Kilimanjaro Pemium Lager Jivunie Utanzania ikiwa ni katika kuelekea maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania. PICHA ZOTE NA JOHN BADI WA DAILY MITIKASI BLOG
Waandishi kwa ulabuuuu.....meno yote njee
Kundi lililoshinda kujibu maswali likiwa katika picha ya pamoja na zawadi zao za ulabu the Kilimanjaro Premium Lager.
Maofisa kutoka Kampuni ya Executive Solutions Ltd waratibu wa semina hiyo, Mike Mukunza (kushoto) na Tamika Chikawe-Zaun wakiwa wenye furaha baada ya mambo kwenda kama walivyoyapanga.
Mwanahabari Mwani akichangia jambo.
Sehemu ya waandishi wa habari walioshiriki katika semina hiyo.

No comments: