Tangazo

September 12, 2011

SBL yazindua Mpango wa Maombi ya Ufadhili wa Masomo kupitia EABL Foundation 2011

Mkurugenzi wa Uhusiano na Mawasilino wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Teddy Mapunda akionesha kwa waandishi wa habari fomu ambayo wanafunzi wanaotaka kupatiwa ufadhili wa kusomeshwa kupitia kampuni hiyo chini ya Taasisi ya EABL Foundation kwa mwaka 2011, wakati wa uzinduzi wa mpango huo wa maombi ya ufadhili wa masomo ya elimu ya juu nchini, uliofanyika jijini Dar es Salaam leo.

No comments: