Tangazo

September 12, 2011

BREAKING NEWS: Bomba la Mafuta lalipuka Kenya

Taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa takriban watu 100 wameuawa na moto baada ya bomba la mafuta kulipuka katika eneo la viwanda  Lunga Lunga jijini Nairobi, Kenya. Wazima moto wanajaribu kuzima moto huo.

No comments: