Tangazo

May 19, 2012

Zitto Kabwe afanya Mkutano na Spika wa zamani wa Marekani, Nancy Pelosi na Mbunge Dennis Kucinich

Mbunge wa Kigoma Kaskazini na Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe (katikati), akiwa na Spika wa zamani wa Marekani, Nancy Pelosi (kushoto) na Mbunge Dennis Kucinich wakati walipokutana na kufanya mazungumzo katika Jengo la Congress Washington DC Marekani jana.

No comments: