Tangazo

May 21, 2012

Msama Promotons yakabidhi msaada wa baiskeli ya watu wenye ulemavu

Mkurugenzi wa Msama Promotons, Alex Msama akimkabidhi msaada wa baiskeli ya watu wenye ulemavu, mkazi wa Buguruni jijini Dar es Salaam, Mohamed Komu kwa ajili ya kumsaidia katika kazi zake. Msaada huo ni sehemu ya mapato yaliyotokana na tamasha la Pasaka lililofanyika hii karibuni kwenye Uwanja wa Taifa na mjini Dodoma kati ya Aprili 8-9.


No comments: