Tangazo

September 23, 2011

TASWIRA YETU LEO

Msanii  Thomas Amko wa Shirati wilayani Rorya akipuliza kibuyu (zumati) katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda kwenye uwanja wa michezo wa Shirati jana Septemba 22,2011.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: