Tangazo

September 6, 2011

Vodacom Miss Personality 2011 ni Alexia Williams

Mrembo Alexia Williams akibebwa na warembo wenzake wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011 baada ya kutajwa kuwa ndiye mshindi wa Vodacom Miss Personality 2011 na kupata tiketi ya kuingia nusu fainali ya Vodacom Miss Tanzania itakayofanyika Septemba 10 mwaka huu katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Tayari warembo wengine wanne wameshafanikiwa kuingia katika hatua ya nusu fainali. (Picha na Mpigapicha wetu).

No comments: