Tangazo

October 3, 2011

Dk. Kafumu wa CCM ndiye Mbunge Mpya wa Jimbo la Igunga

Dk. Dalaly akisaini matokeo. Kushoto ni Msimamizi wa Uchaguzi Igunga, Protace Magayane.

Katibu Mkuu wa CCM Mukama akimshika Dk. Dalaly wakati matokeo yakitangazwa.

Protace Magayane akitangaza matokeo.

Dk. Kafumu akipongezwa na mkewe wake, Maria Magdalena Kafumu.

Dk. Kafumu akibebwa baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa Ubunge jimbo la Igunga.

Msimamizi wa Uchaguzi, Protace Magayane akimpongeza Dk. Kafumu baada ya kumtangaza na kumkabidhi cheti cha ushindi wa ubunge.

Dk.  Kafumu akionyesha cheti chake cha ushindi.

Baadhi ya viongozi wa CCM, wakishangilia baada ya Dk. Kafumu kutangazwa amshindi. Watatu ni Katibu wa NEC Oganaizesheni, Asha Abdallah Juma.

Hali ya upigaji kura.

Fomu ya washindi.

No comments: