Tangazo

October 3, 2011

MICHEZO YA HATARI...

Kamera ya Daily Mitikasi Blogu mwishoni mwa wiki iliwanasa watoto hawa wa mtaani wakiwa wamening'inia nyumba ya Daladala lenye namba za usajili T 492 AJY katika Barabara ya Uhuru eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam jambo ambalo ni hatari kwa usalama wao.

No comments: