Tangazo

October 3, 2011

SIKU FREEMAN MBOWE ALIPOFUNGA KAMPENI ZA CHADEMA IGUNGA

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe akihutubia wakazi wa mji wa Igunga na vitongoji vyake wakati wa mkutano wa kufunga kampeni, kwenye Uwanja wa Barafu.

No comments: