Tangazo

October 25, 2011

HONGERA MTOTO 'SUZY' KWA KUTIMIZA MIEZI SITA NA NUSU


Familia ya Bw & Bi. John Badi wanampongeza binti yao, Suzana 'Suzy' John Badi kwa kutimiza umri wa Miezi Sita na Nusu, Mungu akubariki, akulinde na kukupa afya njema.

1 comment:

Anonymous said...

SUZY HONGERA SANA.UNCLE SAM KIGAMBONI