Tangazo

October 10, 2011

Maonyesho ya Magari "Tanzania Automotive Festival 2011" yang'ara jijini Dar.

Mgeni rasmi katika Maonyesho ya magari  ya “ Automotive Festival 2011” , Mkurugenzi wa Biashara kutoka Wizara ya Viwanda, Biashara na Masoko, Deo Ndunguru akizungumza na waandishi wa habari kabla ya  kufungua maonyesho hayo katika viwanja vya Posta Kijitonyama jijini Dar es Salaam juzi. PICHA ZOTE/DAILY MITIKASI BLOG
Mkurugenzi wa kampuni ya Vision Investments, Ally Nchahaga akitoa ufafanuazi wa jambo kwa waandishi wa habari. Vision Investments ndio walioandaa maonyesho hayo.
Mgeni rasmi katika Maonyesho ya magari  ya “ Automotive Festival 2011” , Mkurugenzi wa Biashara kutoka Wizara ya Viwanda, Biashara na Masoko, Deo Ndunguru akijaribu kuendesha gari ambalo ni maalum kwaajili ya kuwafundishia madereva wasiojua kabisa na kuwa test wale waliofuzu. hapa ilikuwa ni katika banda la Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT)
Uwanjani nako mambo yalikuwa kama hivi....
Mgeni rasmi, Bw. Deo Ndunguru akiendelea kutembelea mabanda mbalimbali.
Hapa alikuwa katika banda la YUASA.  Kushoto ni Mratibu wa maonyesho hayo, Bw, Ally Nchahaga.
Hapa alikuwa Mogas Lublicants.
Hapa ni katika banda la VETA.

No comments: