Tangazo

October 10, 2011

MTU NI AFYA

Jamani Pweza ni watamu lakini mazingira ya wauzaji wake kwa kweli yanahatarisha usalama wa afya za walaji... huyu alinaswa na kamera ya Daily Mitikasi Blog akiwauza kwenye kituo cha Bus katika eneo la Feri jiji Dar bila hata ya kuwafunika jambo linalopekea Nzi, vumbi humo humo duuuu...

No comments: