Hongereni Serengeti Breweries.Makofi ya kuashiria furaha ya uzinduzi. |
Cheers to everybody.........Mfalme amerudi tena..... Imechujwa kwa ubaridi kukupa ladha safi kabisa. |
Mmoja wa Innovation Team akigonga cheers na Mgeni rasmi baada ya uzinduzi rasmi. |
Innovation Team katika picha ya pamoja. Hongereni kwa kazi nzuri. |
Mkurugenzi wa Mahusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya Serengeti Breweries Bi. Teddy Mapunda akimkaribisha mgeni rasmi. |
Sasa imezinduliwa rasmi. |
No comments:
Post a Comment