Tangazo

October 10, 2011

Waziri Mkuu Pinda 'face to Face' na Marcio Maximo nchini Brazil

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Kocha wa zamani wa timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu, Marcio  Maximo kwenye hoteli ya  JW MARRIOTT ya Rio de Janeiro akiwa katika ziara ya kikazi nchini Brazil Oktoba 8,2011 Katikati ni mkewe Tunu.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Kocha wa zamani wa timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu, Marcio  Maximo kwenye hoteli ya  JW MARRIOTT ya Rio deJaneiro akiwa katika ziara ya kikazi nchini Brazil Oktoba 8,2011.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: