Tangazo

October 21, 2011

RAIS DK. KIKWETE AKUTANA NA NAIBU KATIBU MKUU WA UN, DK. ASHA-ROSE MIGIRO IKULU JIJINI DAR

Rais Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu na kufanya mazungumzo na Naibu katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa, Dk. Asha-Rose Migiro Ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Dk. Asha-Rose Migiro.

No comments: