Tangazo

October 21, 2011

WAZIRI WA UWEKEZAJI, DK. MARY NAGU ATEMBELEA KIWANDA CHA TBL MBEYA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji), Dk. Mary Nagu akizungumza na maofisa wa kiwanda hicho.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji), Dk. Mary Nagu (katikati mbele) akiongozana na Maofisa wa Kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Mkoani  Mbeya, Maofisa wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) na waandishi wa habari, kutembelea maeneo mbalimbali ya kiwanda hicho.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji), Dk. Mary Nagu (katikati mbele) akiendelea kupata maelezo mbalimbali kuhusu uzalishaji kiwandani hapo kutoka kwa Meneja wa Kiwanda hicho, Calvin Martin.
Meneja wa Kiwanda cha Bia cha Kampuni ya Tanzania Brewaries Limited (TBL) Mkoani Mbeya, Calvin Martin (kushoto) akifafanua jambo kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji), Dk. Mary Nagu  alipotembelea kiwanda hicho juzi. Katikati ni Ofisa Tawala Wilaya ya Mbeya, Geofrey Anania.

No comments: