Waziri Mkuu Pinda akutana na Makamu wa Rais wa Brazil
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Makamu wa Rais wa Brazil, Michael Temer kabla ya mazungumzo yao, kwenye Ofisi yake , Brasilia akiwa katika ziara ya kakazi nchini Brazili jana Octoba 10,2011.(Picha na OFisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment