Tangazo

October 21, 2011

Waziri wa Muungano, Samia Suluhu atembelea Shirika la maendeleo ya Petroli (TPDC)

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano), Samia Suluhu Hassan akionyeshwa ramani ya sehemu za visima vya  mafuta na Mkurugenzi Utafiti Uzalishaji wa TPDC, Bw.  Halfani Halfani wakati alipotembelea katika Ofisi za Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania[TPDC] zilizopo jengo la Benjamini Mkapa Towers jijini Dar es Salaam jana. PICHA/ALI MEJA

No comments: