Tangazo

October 21, 2011

Waziri Mkuu Pinda akagua Hifadhi ya Taifa ya Katavi

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Watalii kutoka Switzerland, Rolv (kulia) na Erica kwenye Hifadhi ya Taifa ya Katavi wakati alipokagua athari za kiangazi kwenye hifadhi hiyo jana Oktoba 20,2011.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Katavi, John Gara  akimtishia tembeo ambaye alikuwa akirandaranda kwenye Lodge ya Katuma Bush kwenye Hifadhi hiyo wilayani Mpanda wakati alipokagua athari za kiangazi kwenye hifadhi hiyo jana Oktoba 20,2011.(Picha na Ofisi ya |Waziri Mkuu)

No comments: