Tangazo

November 11, 2011

Maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru ya Sekta ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar

Fundi wa kampuni ya simu Tanzania (TTCL), Issa Mohamed akionyesha simu ya kuzungumsha kwa mkono iliyokuwa ikitumika mwaka 1973 wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru ya sekta ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia yaliyomalizika jana katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam . Kushoto ni Mhandisi, Dominick Ngandama na Ofisa Uhusiano wa TTCL, Amanda Luhanga.
Ofisa Mkongo wa Taifa, Thomas Lemunge akionyesha ramani inayoonyesha mikoa iliyounganishwa na mkongo wa taifa.
Simu za Mezani zilizotumika enzi hizo.

No comments: