Tangazo

November 11, 2011

MAPIGANO MAKALI KATI YA POLISI NA MACHINGA MKOANI MBEYA LEO


Wamachinga  wakitoka nduki katika eneo la tukio wakati wa machafuko hayo yamepamba moto.

Polisi wakipiga mabomu ya machozi ili kuzuia ghasia katika eneo la Mwanjelwa mkoani Mbeya leo kuwatawanya  Wamachinga.

Watu wakikimbia ili kujiokoa na hatari katika eneo hilo. Picha kwa hisani ya Mbeya Yetu Blog

No comments: