Tangazo

January 13, 2012

AHMAD MICHUZI AMEZALIWA LEO

Leo ni siku ya kuzaliwa mdau na Blogger maarufu Ahmad Issa a.k.a  MichuziJR ambaye anaendesha blogu ya JIACHIE. Mdau huyu leo anatimiza miaka yake kadhaa baada ya kuifyeka vilivyo lakini Ijumaa ya leo ameitumia kumshukuru Mungu kwa baraka na afya tele aliyomjalia na kumsihi amzidishie miaka mingine kadhaa huko mbele.

Daily Mitikasi Blog inaungana na wadau wote wa Mitandao ya Jamii ya Father Kidevu Blog, Mtaa kwa Mtaa Blog, Michuzi Blog, JIACHIE, na mingine mingi kukutakia heri na fanaka katika kuendeleza libeneke huku liendapo.

HAPPY BIRTHDAY!! TO YOU!!! HAPPY BIRTHDAY TO YOUUUUUU!!!
KATA KEKI TULEEEEE!!!

No comments: