Tangazo

January 14, 2012

RAIS KIKWETE NA WAZIRI MKUU PINDA WAUAGA MWILI WA KAMISHINA WA MAGEREZA NKUKU

Rais Jakya Kikwete na Mkewe Salma wakitoa heshima za mwisho kwa  alieyekuwa mkuu wa utawala na fedha wa Jeshi la Magereza, Kamishina Elias Mtige Nkuku katika ibada iliyofanyika kwenye chuo cha Maofisa wa Magereza, Ukonga jijini Dar es salaam Januari 13, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akitoa heshima za mwisho kwa  alieyekuwa mkuu wa utawala na fedha wa Jeshi la Magereza, Kamishina Elias Mtige Nkuku katika ibada iliyofanyika kwenye chuo cha Maofisa wa Magereza, Ukonga jijini Dar es salaam Januari 13, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiwapa pole wanafamilia ya  alieyekuwa mkuu wa utawala na fedha wa Jeshi la Magereza, Kamishina Elias Mtige Nkuku katika ibada iliyofanyika kwenye chuo cha Maofisa wa Magereza, Ukonga jijini Dar es salaam Januari 13, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments: