Tangazo

January 31, 2012

KUTOKA BUNGENI LEO




Waziri Mkuu,Mizengo  Pinda akizungumza na Mbunge wa Busega, Titus Kamani kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Januari 31, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri mkuu Pinda akiwa na Waheshimiwa Rita Mlaki (katikati) na Dk. Christine Ishengoma.


Waziri Mkuu, Mizengo  Pinda akifurahia jambo katika mazungumzo kati yake na Mbunge  wa Mkuranga na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Adam Malima (watatu kulia), Mbunge wa Kigoma Kusini David  Kafulila  (wapili kulia)  na Mbunge wa Gairo Ahmed Shabiby. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri   Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Januari 31, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: