Tangazo

January 31, 2012

Usiku wa Airtel na wateja wake jijini Mwanza

Afisa Mauzo wa Airtel Kanda ya Ziwa, Violet Gyumi akimkabidhi zawadi Mkurugenzi wa kampuni ya Barmedas, Hirnoy Barmedas katika halfa iliyofanyika kwaajili ya kuwashukuru wateja wa Airtel mkoani Mwanza katika hotel ya Gold Crest na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali.

Wateja wa Airtel mara baada ya kupokea zawadi zao wakati walipohudhuria hafla ya kufungua mwaka iliyoandaliwa kwaajili ya wateja wa  Airtel Mwanza na kufanyika katika Hotel ya Gold Crest.

Afisa Mauzo wa Airtel Kanda ya Ziwa Violet Gyumi akimkabidhi zawadi ya modem na kifurushi cha kuanzia kwa Subira S. Ally mara baada ya bahati nasibu kufanyika katika usiku maalu wa Airtel na wateja wake Mwanza katika ukumbi wa Gold Crest Hotel.

No comments: