Tangazo

January 24, 2012

MIAKA 35 YA CCM, NAPE AZUNGUMZA NA UVCCM MWANZA

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza katika kikao cha Baraza la Uteklelezaji  la Umoja wa Vijana wa CCM mkoa wa Mwanza cha  kujiandaa na sherehe za maadhimisho ya miaka 35 ya CCM kwenye ukumbi wa CCM Kirumba, juzi. Nape alikuwa Mwanza kukagua maandalizi ya maadhimisho hayo ambayo kitaifa yanafanyika  jijini humo.Kushoto ni Katibu wa CCM mkoa wa Mwanza, Joyce Msunga. PICHA/BASHIR NKOROMO

No comments: