Tangazo

January 24, 2012

MAZISHI YA MAREHEMU JEREMIAH SUMARI (MB) ARUMERU MASHARIKI

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti Mstaafu wa CCM mkoani Arusha Mzee Jackson Kaaya wakati wa mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki marehemu Jeremiah Sumari tarehe 23.1.2012. PICHA NA JOHN  LUKUWI

Rais Jakaya Kikwete akiwapa pole mamia ya wananchi waliohudhuria mazishi ya aliyekuwa mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki Ndugu Jeremiah Sumari huko kijini kwake Akheri tarehe 23.1.2012.PICHA NA JOHN  LUKUWI

Jeneza lililo na mwili wa marehemu Jeremiah Sumari aliyekuwa mbunge wa Arumeru Mashariki,CCM, likishushwa kaburini.PICHA NA JOHN  LUKUWI

Rais Jakaya Kikwete akiweka shada la maua kwenye kaburi la Marehemu Jeremiah Sumari aliyezikwa kijijini kwake huko Akheri, Arumeru Mashariki terehe 23.1.2012. PICHA NA JOHN  LUKUWI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na watoto wa aliyekuwa Mbunge wa Arumeru  Mashariki, Marehemu, Jeremiah Sumari katika mazishi ya mbunge huyo, Akeri, Arumeru Januari 23, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Miriam Sumari, mke wa aliyekuwa  Mbunge wa Arumeru Mashariki, Jeremiah  Sumari akweka shada la maua kwenye kaburi la mumewe katika mazishi yaliyofanyika Akeri, Arumeru, Januari 23, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: