Tangazo

January 18, 2012

WAZIRI MKUU PINDA AKUTANA NA SHEIKH MKUU MUFTI SHABAN BIN SIMBA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Sheikh  Mkuu wa Tanzania,  Mufti  Shaban Bin Simba Ofisini kwake jijini Dar es Salaam Januari  18, 2012. Katikati ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: