Tangazo

January 18, 2012

Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa ndani ya Harusi ya Mtoto wa Parseko Kone RC-Singida

Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa akifurahia jambo wakati alipokuwa akimtambulisha mbunge wa Viti maalumu CHADEMA Mkoa wa Singida.

Wazri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa akiwatambulisha Wakuu wa wilaya za Mkoa wa Kilimanjaro, Arusha na Manyara waliohudhuria harusi ya mtoto wa Mkuu wa Mkoa wa Singida Kone jana mjini Arusha.


Lowassa akigonganisha glasi na maharusi.

Bibi Harusi Joan Catherine Joseph akikabidhi keki kwa Baba Mkwe wake Mkuu wa Mkoa wa Singida Parseko Ole Kone, wakati wa harusi ya kijana wake iliyofanyika jana mjini Arusha, pembeni yake ni Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa ambaye pi ni Mbunge wa Jimbo la Monduli na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Goodluck Ole Medeye.

No comments: