Tangazo

February 1, 2012

MABONDIA FRANCIS CHEKA NA MADA MAUGO KUGOMBEA UBINGWA WA IBF RAUNDI 12 APRIL 28

Bondia Fransic Cheka akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Februari 01.12 kuhusu mpambano ubingwa IBF raundi 12 dhidi ya Mada Maugo litakarofanyika katika Ukumbi wa PTA Sabasaba Aprili 28. Picha kwa hisani ya superdboxingcoach.blogspot.com

Bondia Mada Maugo akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kusaini mkataba huo.

Makamu Mwenyekiti wa Oganaizesheni ya Ngumi za Kulipwa Nchini, Madaraka Nyerere (kushoto) akiwaelekeza mabondia Francis Cheka (kulia) na Mada Maugo jinsi ya kusaini mkataba wa makubaliano wa kupigania ubingwa  IBF raundi 12 litakarofanyika katika Ukumbi wa PTA Sabasaba.

No comments: