Tangazo

March 7, 2012

NAPE AKUTANA NA MKUU WA KITENGO CHA MASUALA YA AFRIKA WA UINGEREZA

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akimkaribisha Naibu Mkurugenzi wa Kitengo cha Masuala ya Afrika wa Uingereza Nick Pyle  aliyemtembelea katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba mjini Dar es Salaam. Kushoto ni Balozi Msaidizi wa Uingereza hapa nchini, Susie Kitchens.

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na Naibu Mkurugenzi wa Kitengo cha Masuala  ya Afrika wa Uingereza  Nick Pyle (kushoto) aliyemtembelea katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba mjini Dar es Salaam. Katikati ni Balozi Msaidizi wa Uingereza hapa nchini, Susie Kitchens.

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akimfafanulia jambo  Balozi Msaidii wa Uingereza Hapa nchini, Susie Kitchens wakati wa mazungumzo yake na Mkugenzi wa Kitengo cha Masuala ya Afrika wa Uingereza Nick Pyle (hayupo pichani) aliyemtembelea katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba mjini Dar es Salaam.

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwa katika picha ya pamoja na  Naibu Mkurugenzi wa Kitengo cha Masuala ya Afrika wa Uingereza Nick Pyle (Wapili kushoto) baada ya mazungumzo yao leo, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba mjini Dar es Salaam. Kushoto ni Balozi Msaidizi wa Uingereza hapa nchini, Susie Kitchens. Picha na Bashir Nkoromo   

No comments: