Tangazo

March 26, 2012

Rais Kikwete awaapisha Makatibu Tawala wa Mikoa Ikulu jijini Dar

Katibu Tawala mpya wa mkoa wa Mbeya Bibi.Mariam Mtunguja akila kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es salaam Machi 24.12. Katika hafla hiyo Rais aliwaapisha pia makatibu Tawala wa mikoa mingine kama ifuatavyo,Dkt. Faisal Issa (Kilimanjaro), Bwana Eliya Ntandu (Morogoro), Bwana Severine Kahitwa(Geita),Bwana Emmanuel Kalobelo (Katavi), Bwana Hassan Bendeyeko(Ruvuma) na Dkt. Anselem Tarimo (Shinyanga)(Picha na Freddy Maro).

No comments: