Tangazo

March 7, 2012

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda azindua Bodi ya Wakurugenzi wa EPZA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipandisha mlima Kilimanjaro wakati alipokwenda  kwenye la Mamlaka ya Maeneo  Maaluum ya Uzalishaji kwa Mauzo ya Nje (EPZA) Mabibo jijini Dar es salaam Mach 6, 2012 kuzindua Bodi ya Wakurugenzi wa EPZA. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiongozwa na Mkurugenzi  Mkuu wa Mamlaka  ya Maendeo Maalum ya Uzalishaji kwa Mauzo ya Nje (EPZA), Dr. Adhelm Meru  (kulia)kutelemka kutoka kwenye Mlima Kilimanjaro wakati alipokwenda  kwenye eneo hilo Mabibo jijini Dar es salaam Machi 6, kuzindua Bodi ya EPZA. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: