Tangazo

April 6, 2012

RAIS KIKWETE ATANGAZA WAJUMBE WA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA

Baadhi ya wahariri wa vyombo vya habari wakimsubiri Rais Kikwete kuja kutangaza majina ya wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba leo Ikulu jijini dar es salaam.


Rais Kikwete akitangaza majina ya wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba leo.

Rais Kikwete akiwa na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali wakitoka chumba cha mikutano Ikulu baada ya Rais kutangaza wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya katiba.

                                 TUME YA MABADILIKO YA KATIBA 
             (Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura 83, Toleo la 2012, Vifungu 5, 6na 7)



UONGOZI WA JUU

1.Mhe. Jaji Joseph Sinde WARIOBA  -  Mwenyekiti

2.Mhe. Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino RAMADHANI -  Makamu Mwenyekiti


WAJUMBE KUTOKA TANZANIA - BARA


1.Prof. Mwesiga L. BAREGU
   

2.Nd. Riziki Shahari  MNGWALI
   

3.Dr. Edmund Adrian Sengodo MVUNGI
   

4.Nd. Richard Shadrack LYIMO
   

5.Nd. John J. NKOLO
   

6.Alhaj Said EL- MAAMRY
   

7.Nd. Jesca Sydney MKUCHU
   

8.Prof. Palamagamba J. KABUDI
   

9.Nd. Humphrey POLEPOLE
   

10. Nd. Yahya MSULWA
   

11. Nd. Esther P. MKWIZU
   

12.Nd. Maria Malingumu KASHONDA
   

13.Mhe. Al-Shaymaa J. KWEGYIR (Mb)
   

14.Nd. Mwantumu Jasmine MALALE
   

15.Nd. Joseph  BUTIKU
   
WAJUMBE KUTOKA TANZANIA - ZANZIBAR

1.Dkt. Salim Ahmed SALIM
   

2.Nd. Fatma Said ALI
   

3.Nd. Omar Sheha MUSSA
   

4.Mhe. Raya Suleiman HAMAD
   

5.Nd. Awadh Ali SAID
   

6.Nd. Ussi Khamis HAJI
   

7.Nd. Salma MAOULIDI
   

8.Nd. Nassor Khamis MOHAMMED
   

9.Nd. Simai Mohamed SAID
   

10.Nd. Muhammed Yussuf MSHAMBA
   

11.Nd. Kibibi Mwinyi HASSAN
   

12.Nd. Suleiman Omar ALI
   

13.Nd. Salama Kombo AHMED
   

14.Nd. Abubakar Mohammed ALI
   

15.Nd. Ally Abdullah Ally SALEH
   

UONGOZI WA SEKRETARIETI

1.Nd. Assaa Ahmad RASHID -  Katibu

2.Nd. Casmir Sumba  KYUKI -  Naibu Katibu
 

No comments: